Uhakiki kwa waathirika wa zoezi la utafiti wa mafuta na gesi
Watendaji wa ZPDC na ZPRA wakiambatana na Kampuni ya RAKgas wakifanya uhakiki kwa waathirika wa zoezi la utafiti wa mafuta na gesi asilia kwa ajili ya kulipwa fidia huko Mkoa wa Kusini Pemba. .......