• 7th Floor,Zura Building - Maisara Zanzibar

language

News

post-image

MASHIRIKIANO BAINA YA ZPDC NA WAWEKEZAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA

Watendaji wa ZPDC wakisikiliza wasilisho la shughuli zinazofanywa na Kampuni ya DISEPROSA kutoka Spain ili kuona namna watavyoshirikiana katika shughuli za mafuta na gesi asilia.

post-image

MAFUNZO YA MAFUTA NA GESI ASILIA KWA WAANDISHI WA HABARI

Mkurugenzi Sheria ZPDC Nd. Walid Mohamed Adam akitoa mafunzo juu ya shughuli za mafuta na gesi asilia Zanzibar kwa Waandishi wa Habari yaliyofanyika Maisara Unguja.

post-image

MKUTANO WA NNE WA SEKTA YA NISHATI TANZANIA

Makamo wa Pili wa Rais Mhe. Hemed Suleiman Abdallah atembelea banda la ZPDC katika Maonesho ya 4 ya Sekta ya Nishati Tanzania.

post-image

Uhakiki kwa waathirika wa zoezi la utafiti wa mafuta na gesi

Watendaji wa ZPDC na ZPRA wakiambatana na Kampuni ya RAKgas wakifanya uhakiki kwa waathirika wa zoezi la utafiti wa mafuta na gesi asilia kwa ajili ya kulipwa fidia huko Mkoa wa Kusini Pemba.

post-image

Shughuli za utafiti wa Mafuta na Gesi

Balozi mdogo wa Oman nchini Zanzibar akutana na uongozi wa ZPDC kuona ni namna gani wanaweza kushirikiana katika shughuli za utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar.