• 7th Floor,Zura Building - Maisara Zanzibar

language

News

post-image

ZPDC YASHIRIKI MAONESHO YA SABASABA

Afisa Habari na Uhusiano wa ZPDC Ndg. Laila Keis Hassan akitoa uwelewa wa shughuli za utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar kwa mwananchi aliyefika kwenye banda la ZPDC katika maonesho ya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam.

post-image

ZPDC YASHIRIKI WIKI YA MASHIRIKA

Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZPDC akitoa maelezo kwa Makamo wa Pili wa Rais Mhe. Hemed Sleiman Aballah alipotembelea banda la ZPDC kwenye maonesho ya Wiki ya Mashirika yaliyofanyika katika viwanja vya Kisonge Unguja.

post-image

MKUTANO WA NNE WA SEKTA YA NISHATI TANZANIA

Makamo wa Pili wa Rais Mhe. Hemed Suleiman Abdallah atembelea banda la ZPDC katika Maonesho ya 4 ya Sekta ya Nishati Tanzania.

post-image

Uhakiki kwa waathirika wa zoezi la utafiti wa mafuta na gesi

Watendaji wa ZPDC na ZPRA wakiambatana na Kampuni ya RAKgas wakifanya uhakiki kwa waathirika wa zoezi la utafiti wa mafuta na gesi asilia kwa ajili ya kulipwa fidia huko Mkoa wa Kusini Pemba.

post-image

Shughuli za utafiti wa Mafuta na Gesi

Balozi mdogo wa Oman nchini Zanzibar akutana na uongozi wa ZPDC kuona ni namna gani wanaweza kushirikiana katika shughuli za utafiti wa Mafuta na Gesi Asilia Zanzibar.